Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

UWAKA waaswa kumfata Mt. Yosefu

Viongozi wa Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA) Taifa, wakiimba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu kabla ya Mkutano wao uliyofanyika katika Kiwanda cha Woiso Original Products, kilichopo Salasala, jijini Dar es Salaam. (Picha na Mathayo Kijazi) Viongozi wa Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA) Taifa, wakiimba wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu kabla ya Mkutano wao uliyofanyika katika Kiwanda cha Woiso Original Products, kilichopo Salasala, jijini Dar es Salaam. (Picha na Mathayo Kijazi)

DAR ES SALAAM

Na Mathayo Kijazi

Mkuu wa Idara ya Walei Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Delphinus Ngaiza, amewasihi Viongozi wa Utume wa Wanaume Katoliki (UWAKA) Taifa, kuiga mfano wa Mtakatifu Yosefu kwa kuwa wanyenyekevu, na wenye kumtanguliza Mungu katika mambo yao.
Padri Nagiza alisema hayo hivi karibuni katika homilia yake, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu, katika Mkutano wa Viongozi hao wa UWAKA, walipokutana kwa lengo la kujadili mambo mbalimbali, yatakayokiendeleza chama hicho cha kitume ngazi ya Taifa, uliofanyika katika Kiwanda cha Woiso Original Products, kilichopo Salasala jijini Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.