Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na Mapadri wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose Tagaste, na…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus wa Tolentino, Msingwa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kipaimara hivi karibuni parokiani hapo.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, akiwa katika picha ya pamoja na Utume wa Kwaya Katoliki Tanzania (UKWAKATA) Parokia ya Mtakatifu Nicholaus Tolentino,…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati) na Mapadri, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kamati Tendaji ya Halmashauri ya Walei…
Vijana wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima wa Karmeli, Bunju Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, walioimarishwa kwa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara wakiwa kanisani wakati wa Adhimisho la…
Wanachama wa Shirika la Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Misa Takatifu ya Sherehe ya Somo wao, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Moyo Mtakatifu…
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, akimpongeza Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, kwa kuadhimisha Jubilei ya…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akisalimiana na kijana James Peter, mwamini wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju, jimboni humo,…
Padri Germine Laizer akiwavisha rozari baadhi ya wanachama wapya wa Chama cha Wajane na Wagane Dar es Salaam Na Benedikto Agostino Wajane na Wagane nchini wametakiwa kuendelea kuishi fadhila za…