Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Penati ya panenka na aina zake kiufundi

Andrey Pirlo moja ya wachezaji wapiga penati za panenga. Andrey Pirlo moja ya wachezaji wapiga penati za panenga.

DAR ES SALAAM

Na Arone Mpanduka

Panenka ni mbinu maalumu ya kupiga penati katika mpira wa miguu, ambapo mchezaji hupiga mpira kwa upole na kwa ustadi katikati ya lango, badala ya kupiga kwa nguvu kuelekea pembe za lango. 
Mbinu hii inalenga kumshawishi kipa kwenda upande mmoja, kabla ya mchezaji kupiga mpira polepole katikati, hivyo kumfanya kipa ashindwe kufikia mpira. 

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.