Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Katika safu hii ya Chimba Chimba Historia ya Kanisa wiki iliyopita, tuliwaletea historia ya kuanza kwa Uinjilishaji nchini Zambia. Leo tunaendelea na Uinjilishaji nchini humo, hususan Kanisa katika Zambia huru…
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu Wasaidizi wa Jimbo hilo, Mapadri Wanajubilei wa…
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Parokia ya Mtakatifu Yosefu Allamano, Kibada, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Steven Nyilawila, akimpongeza Padri Ambrose Mosha OFMCap, kwa kutimiza Jubilei ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiadhimisha Misa Takatifu ya Shukrani ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwenye viwanja vya Seminari ya Mtakatifu…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akiadhimisha Misa Takatifu ya Shukrani ya Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) kwenye viwanja vya Seminari ya Mtakatifu…
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Mhashamu Simon Masondole, Mapadri, mgeni rasmi, Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo (kushoto kwa Askofu), wakiwa katika picha ya pamoja na WAWATA, baada…
Viongozi wapya wa Dekania ya Mtakatifu Thomas More wakiweka kiapo mbele ya Dekano wa Dekania hiyo, Padri Romwald Mukandala wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Kizito,…
Viongozi wa Utume wa Wanaume Katoliki (Uwaka), Parokia ya Mtakatifu Dominico, Mbezi Juu, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Uwaka Day, parokiani hapo…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na Wasimamizi wa Waimarishwa wa Sakramenti ya Kipaimara, baada ya…