Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
ISHARA NA ALAMA KATIKA LITURUJIA-V1. Rangi za Liturujia Rangi zina maana ya ishara katika Liturujia. Rangi inaashiria fumbo la sikukuu au hisia za tukio maalum ambalo Misa huadhimishwa. Ili kuelewa…
Mlezi wa Seminari Kuu ya Segerea, Padri Siegfried Rusimbya Ntare, akibariki matoleo ya waamini wakati wa adhimisho la Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu iliyoadhimishwa katika Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kilongawima,…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri ya Walei wa Parokia ya Bikira Maria…
Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu, Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vitalis Kassembo (katikati mwenye kanzu nyeusi), akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Halmashauri…
Mwenyekiti wa UWAKA Dekania ya Segerea, Emmanuel Tibaijuka akitoa neno la shukrani kwa UWAKA Parokia ya Mtakatifu Bonaventura, Kinyerezi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kwa kumkaribisha katika sherehe…
Mlezi wa Seminari Kuu ya Segerea, Padri Siegfried Rusimbya Ntare, akiwaosha miguu waamini wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Alhamisi Kuu iliyoadhimishwa katika Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kilongawima, Jimbo…
Waamini wa Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima, Kimara- Korogwe, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika parokiani hapo hivi karibuni.
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Stephano Musomba (katikati mwenye fimbo ya kichungaji) pamoja na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na waamini kutoka Parokia…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Bonaventura, Kinyerezi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Francis Hiza (katikati waliokaa), Paroko Msaidizi wa Parokia hiyo, Padri Benson Mapunda (kushoto kwa Paroko),…