Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Azam FC kujilipua msimu ujao

Afisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC,Thabith Zakaria Afisa Habari na Mawasiliano wa Azam FC,Thabith Zakaria

DAR ES SALAAM

Na Nicholaus Kilowoko

Uongozi wa klabu ya soka ya Azam FC, umesema kuwa baada ya kocha kurejesha ripoti yake ya msimu mzima, wanatarajia kusajili wachezaji wa kazi watakaoisaidia timu.
Mkuu wa Kitengo cha Habari, Thabith Zakaria Zaka marufu Zakazi Zaka alisema kwamba, msimu huu umekuwa na mambo mengi na kuwafanya washindwe kutimiza malengo yao, lakini wanaamini mara baada ya kupokea ripoti hiyo, itatafsiri muelekeo wao ujao.
Alisema kuwa msimu huu unavyohitimishwa unategemea ripoti ya kocha, ambayo itawaongoza wao katika usajili wa wachezaji ambao wataisaidia timu hiyo msimu ujao.
Aliongeza kuwa kusajili kwao ni lazima, haijalishi wachezaji watawatoa katika timu zao za vijana au nje ya nchi, lakini lazima wakiimarishe kikosi chao msimu ujao kutokana na matokeo ambayo waliyapata msimu ulioisha.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.