Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Papa ateta na Watumishi wa Altare

Papa Leo XIV akizungumza na Wahudumu wa Altareni kutoka Ufaransa, wengine ni Maaskofu, Mapadri. Papa Leo XIV akizungumza na Wahudumu wa Altareni kutoka Ufaransa, wengine ni Maaskofu, Mapadri.

VATICAN CITY, Vatican

Baba Mtakatifu Leo XIV, hivi karibuni amekutana na wahudumu wa altareni wapatao 360 kutoka Ufaransa, katika fursa ya hija yao jijini Roma, pamoja na Mapadri na Maaskofu wao kama sehemu ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei ya matumaini.
Katikati ya masuala ya kimataifa, pamoja na maumivu ya kibinafsi kutokana na hasara au wasiwasi, Papa aliwaalika vijana hao kumtazama Yesu ambaye ana uwezo wa kuwaokoa.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.