Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kauli ya Rais TEC bado kaa la moto

Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Mhashamu Wolfang Pisa akiwasha mshumaa wa Jubilei ya Miaka 100 ya Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo - Kipalapala, Jimbo Kuu Katoliki la Tabora. Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Mhashamu Wolfang Pisa akiwasha mshumaa wa Jubilei ya Miaka 100 ya Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo - Kipalapala, Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Tabora

Na Mwandishi wetu

Kauli ya Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (Tanzania Episcopal Conference: TEC), Mhashamu Wolfang Pisa, ya kuwataka Wakatoliki kulinda usafi wa Kanisa, na kutokubali Kanisa hilo linajisiwe na kudhoofishwa, bado imeendelea kutikisa kila kona.
Askofu Pisa, ambaye pia ni Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, alitoa kauli hiyo yenye kuvuta na kugusa hisia za wengi hivi karibuni, wakati alipokuwa akitoa homilia yake, katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 100, ya Seminari Kuu ya Mtakatifu Paulo - Kipalapala, Jimbo Kuu Katoliki la Tabora.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.