Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Mali zisiwe sababu ya kufarakana na Mungu

Dekano wa Dekania ya Mavurunza, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vivian Menezes-OCD, akitoa Sakramenti ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana katika Parokia ya Mtakatifu Yohane Maria Muzeey - Tegeta ‘A’, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. (Picha na Mathayo Kijazi) Dekano wa Dekania ya Mavurunza, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vivian Menezes-OCD, akitoa Sakramenti ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana katika Parokia ya Mtakatifu Yohane Maria Muzeey - Tegeta ‘A’, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. (Picha na Mathayo Kijazi)

Dar es Salaam

Na Mathayo Kijazi

Dekano wa Dekania ya Mavurunza, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vivian Menezes- OCD, amewasihi Waamini kufahamu kwamba kuwa na mali nyingi kusiwe sababu ya wao kufarakana na Mungu, kwani kila walichonacho kinatoka kwake.
Padri Vivian alisema hayo wakati wa homilia yake, alipomwakilisha Askofu Mkuu wa Jimbo hilo, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, kuadhimisha Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa vijana 119, katika Parokia ya Mtakatifu Yohane Maria Muzeey - Tegeta ‘A’.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.