Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kauli za Maaskofu kuhusu vurugu katika Uchaguzi Mkuu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Mhashamu Sana Isaac Amani Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Mhashamu Sana Isaac Amani

Mbeya

Na Mwandishi wetu

Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ya Kanisa Katoliki nchini, wameadhimisha Misa Takatifu za kuwaombea watu waliouawa na kujeruhiwa, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, huku wakitoa kauli tofauti tofauti na kukemea, kuhusu hali ya uvunjifu wa amani iliyotokea wakati wa uchaguzi huo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.