Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Rais Mongolia alishukuru Kanisa

Baba Mtakatifu Leo XIV akiwa na Rais wa Mongolia, Ukhnaagiin Khürelsükh. Baba Mtakatifu Leo XIV akiwa na Rais wa Mongolia, Ukhnaagiin Khürelsükh.

VATICAN CITY, Vatican
Baba Mtakatifu Leo XIV amekutana na kuzungumza na Rais wa Mongolia, Ukhnaagiin Khürelsükh, katika Jumba la Kitume mjini Vatican, ambapo baadaye Rais huyo alikutana pia na Kardinali Pietro Parolin, Katibu Mkuu wa Vatican akiambatana na Monsinyo Mih Blaj, Katibu Msaidizi wa Mahusiano na Mataifa.
Katika majadiliano yao katika Sekretarieti ya Jimbo, Papa na Rais huyo walizungumzia pia uhusiano mzuri kati ya Vatican na Mongolia, kwa nia ya kuuendeleza pia katika nyanja ya kitamaduni.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.