Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Chansela awakumbusha Wakristo jukumu msingi

Chansela wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana 21 katika Parokia ya Mtakatifu Joseph Cottolengo – Masaki - Kisarawe, Mkoani Pwani, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu. (Picha na Mathayo Kijazi) Chansela wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana 21 katika Parokia ya Mtakatifu Joseph Cottolengo – Masaki - Kisarawe, Mkoani Pwani, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu. (Picha na Mathayo Kijazi)

Kisarawe – Pwani

Na Mathayo Kijazi

Chansela wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vincent Mpwaji, amewaalika Wakristo kutafakari na kutambua kwamba jukumu lao la kwanza la msingi, ni kuwa Mashahidi wa Yesu Kristo.
Padri Mpwaji aliyasema hayo katika homilia yake, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 21, katika Parokia ya Mtakatifu Joseph Cottolengo – Masaki - Kisarawe, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.