Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kila mbatizwa anatumwa kuinjilisha asema Askofu

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana 72 katika Parokia ya Mtakatifu Maria Magdalena – Kimara Mtoni, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu. Kushoto ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Victor Mwansa, na katikati ni Paroko Msaidizi, Padri Tatenda Kakwedza. (Picha na Mathayo Kijazi) Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara mmoja wa vijana 72 katika Parokia ya Mtakatifu Maria Magdalena – Kimara Mtoni, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu. Kushoto ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Victor Mwansa, na katikati ni Paroko Msaidizi, Padri Tatenda Kakwedza. (Picha na Mathayo Kijazi)

Dar es Salaam

Na Mathayo Kijazi

Imeelezwa kuwa kila anayepokea Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, anatumwa kuwa Mkristo kweli aliye tayari kuacha dhambi na kumrudia Mungu, huku akiwa mtu wa toba.
Hayo yalisemwa na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, wakati wa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti ya Kipaimara kwa vijana 72, katika Parokia ya Mtakatifu Maria Magdalena – Kimara Mtoni, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.