Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Haki, amani vyaibuka upya mahubiri ya Krismasi

Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.

Dar es Salaam

Na Laura Mwakalunde

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema kuwa haki na amani ni vitu viwili vinavyotegemeana, na haviwezi kutenganishwa.
Askofu Mkuu Ruwa’ichi alisema hayo hivi karibuni, wakati akitoa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Mkesha wa Noeli, uliofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Yosefu, jimboni humo.
“Amani na haki ni zawadi na ni wasifu unaofungamana na Kristo Mwokozi, kwani Watanzania wengi kwa ujinga na kurubuniwa, wanajidai wao ni wadau wa amani na kusahau kuwa, hakuwezi kuwa na amani bila haki,” alisema Askofu Mkuu Ruwa’ichi.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.