MADRID, HispaniaMshindi wa medali ya fedha ya dunia ya mita 5,000 nchini Uhispania, Mohamed Katir, amepigwa marufuku kwa miaka miwili na Kitengo cha Uadilifu cha…
HAMBURG, UjerumaniMechi ya Ujerumani ya Bundesliga 2 kati ya Hansa Rostock na Hamburg, ilikatizwa hivi karibuni baada ya magari mawili yaliyoingia uwanjani baada ya dakika…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Wachezaji saba wa Kitanzania wanaoshiriki Ligi Kuu soka Tanzania Bara wanaongoza kwa kufunga mabao ya mapema zaidi kuliko katika…
LOS ANGELES, MarekaniBingwa mara tano wa National Basketball Association (NBA), Kobe Bryant, alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 41 katika ajali ya helikopta, pamoja…
LEVERKUSEN, UjerumaniMkurugenzi wa Michezo wa klabu ya Bayer Leverkusen ya Ujerumani, Simon Rolfes anasema kuwa ana uhakika kwamba kocha wa klabu hiyo, Xabi Alonso atasalia…
DAR ES SALAAM Na Nicolaus Kilowoko Baada ya kukaa miezi saba bila kuwa na pambano lolote, bondia Suleiman Kidunda anatarajiwa kupanda ulingoni mwezi Machi mwaka…
LONDON, UingerezaPromota Frank Warren anasema kwamba Tyson Fury alikuwa akifanya mazoezi kama pepo, na ni ujinga kuhoji uhalali wa jeraha la jicho la Mwingereza huyo.Fury…
DAR ES SALAAM NA ARONE MPANDUKA Duniani ipo michezo migumu kama vile mpira wa miguu, kikapu, riadha, skwashi na mingineyo, lakini ipo michezo ambayo ugumu…