LONDON, UingerezaMpambano wa taji la dunia la Artur Beterbiev na Callum Smith umepangwa upya mapema mwaka ujao kufuatia kuahirishwa kwa tarehe ya awali ya shindano…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Imeelezwa kwamba mshambuliaji mpya wa Yanga kutoka nchini Ghana, Hafiz Konkoni, ni mwalimu kitaaluma.Hayo yalisemwa na mwandishi wa habari…
LONDON, EnglandDillian Whyte yuko tayari kwa mechi ya marudiano na mpinzani wa uzito wa juu wa Uingereza, Anthony Joshua, katika ukumbi wa O2 Arena, Agosti…
Nottingham, EnglandAndy Murray anajiandaa kwa Wimbledon yake ya 15, itakayoanza Julai 3 mwaka huu, huku nyota huyo mwenye umri wa miaka 36, lakini hatazami kustaafu…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Kocha mkuu wa timu ya KMC ya Kinondoni Jamhuri Kihwelo amesema anataka kufanya mpango wa kumshawishi golikipa mstaafu Juma…
LONDON, EnglandBingwa wa masumbwi mara mbili kwa upande wa wanawake Natasha Jonas, anatarajiwa kupanda ulingoni kupigania taji lake la nne la dunia mnamo Julai 1…
Dar es Salaam Na Arone Mpanduka Arsenal ilianza kama utani hivi pale kikundi cha wafanyakazi katika kiwanda cha kuzalisha zana za kivita cha Woolwich, walipoamua…