Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali Rosari Takatifu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi…
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani, Chamugasa - Busega, Jimbo Katoliki la Shinyanga, Padri Dustan Sitta, akiwa katika picha ya pamoja na waamini wa Kanda ya Mtakatifu…
Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu, kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali kabla ya kuanza Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi wa…
Waamini wa Parokia ya Roho Mtakatifu – Segerea, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kupokelewa na Kuteuliwa kwa Wakatekumeni 37, iliyoadhimishwa hivi…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili, Tegeta Kibaoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho ya Misa Takatifu ya Dominika ya Kwanza ya Kwaresma…
Viongozi wa Chama cha Moyo Mtakatifu wa Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiongoza Sala kumshukuru Mungu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi wa…
Viongozi wa Halmashauri ya Walei na Waamini wa Parokia ya Bikira Maria wa Mateso - Mbezi Msakuzi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu…
Waamini wa Kanda ya Bethlehemu, Parokia ya Thomas More, Mbezi Beach, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika maandamano ya kutembeza Msalaba wa Jubilei ya Miaka 50 ya…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Mikael Malaika Mkuu, Kawe, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Bonus Ngoo, akiwapaka waamini Majivu wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano…