Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) wa Parokia ya Mtakatifu Augustino, Salasala…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose, IPTL Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakibadilishana mawazo baada ya Adhimisho la Misa Takatifu iliyoadhimishwa parokiani hapo.
Viongozi wa Kamati Tendaji ya Parokia ya Mtakatifu Yohane Mtume na Mwinjili, Tegeta Kibaoni, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, na waamini wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, na Mapadri wakiwa katika picha ya pamoja na Watoto wa Shirika la Kipapa la Utoto Mtakatifu…
Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali kumshukuru Mungu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi…
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani, Chamugasa - Busega, Jimbo Katoliki la Shinyanga, Padri Dustan Sitta, akibariki vipaji wakati wa Adhimisho ya Misa Takatifu ya Dominika ya…
Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali Rosari Takatifu baada ya Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi…
Paroko wa Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani, Chamugasa - Busega, Jimbo Katoliki la Shinyanga, Padri Dustan Sitta, akiwa katika picha ya pamoja na waamini wa Kanda ya Mtakatifu…
Wanachama wa Moyo Mtakatifu wa Yesu, kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakisali kabla ya kuanza Mkutano wao Mkuu wa Jimbo uliofanyika katika Ukumbi wa…