Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Padri awafunda Maafisa Usalama

Padri Paul Sabuni, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose – IPTL, Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akiongoza Njia ya Msalaba wakati wa Hija kwa Waamini wanaofanya kazi ya Uaskari, kabla ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo, kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu – Makongo Juu (Kanisa la Hija), jijini Dar es Salaam. Kulia, mwenye kanzu nyeusi ni Padri Nicholaus Masamba, Mwenyekiti wa Mapadri Jimbo. (Picha na Yohana Kasosi) Padri Paul Sabuni, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose – IPTL, Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam akiongoza Njia ya Msalaba wakati wa Hija kwa Waamini wanaofanya kazi ya Uaskari, kabla ya Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo, kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu – Makongo Juu (Kanisa la Hija), jijini Dar es Salaam. Kulia, mwenye kanzu nyeusi ni Padri Nicholaus Masamba, Mwenyekiti wa Mapadri Jimbo. (Picha na Yohana Kasosi)

DAR ES SALAAM

Na Mathayo Kijazi

Imeelezwa kwamba endapo ikatokea Askari ama Mwanajeshi  akafanya mauaji ya mtu ama watu katika vita vya haki, siyo dhambi.
Aidha, mauaji hayo yanapaswa kuwa katika zile jitihada zilizotumika kusuluhisha, lakini imeshindikana, kwani lengo la kufanya hivyo, ni kuimarisha amani katika maisha ya wanadamu.
Kauli hiyo ilitolewa hivi karibuni na Padri Paul Sabuni, Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Ambrose – IPTL, Salasala, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakati akitoa ufafanuzi wa swali alilodai kuulizwa na baadhi ya Waamini wanaofanya kazi ya Uaskari, wakati akitoa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 2025 ya Ukristo kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Vyombo vya Ulinzi na Usalama, iliyoadhimishwa katika Parokia ya Bikira Maria wa Rozari Takatifu – Makongo Juu, jijini Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.