Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Parokia Tandahimba yatimiza miaka 40

Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Mhashamu Michael Msonganzila akibarikia gari jipya alilomzawadia Padri Fintan Mrope (kushoto) wakati wa kumpongeza kwa Miaka 20 ya Upadri, iliyofanyika katika Parokia ya Kristo Mfalme, Tandahimba, Jimbo Katoliki la Mtwara. (Na Mpigapicha wetu) Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Mhashamu Michael Msonganzila akibarikia gari jipya alilomzawadia Padri Fintan Mrope (kushoto) wakati wa kumpongeza kwa Miaka 20 ya Upadri, iliyofanyika katika Parokia ya Kristo Mfalme, Tandahimba, Jimbo Katoliki la Mtwara. (Na Mpigapicha wetu)

Mtwara

Na Mwandishi wetu

Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Mhashamu Michael Msonganzila amewataka wanawake kuwa wanyenyekevu kama Mama Bikira Maria.
Alisema hayo wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jubilei ya Miaka 40 ya Parokia, na Miaka 20 ya Utume wa Padri Fintani Mrope, Paroko wa Parokia ya Kristo Mfalme, Tandahimba Jimbo Katoliki la Mtwara, iliyofanyika parokiani hapo.
Askofu Msonganzila alisema kwamba Waamini wengi wanayumbayumba kila sehemu katika imani, hiyo yote ni kutangatanga bila kuelewa wanachokitafuta.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.