Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wanahabari wasukwa kuzalisha vipindi bora

Derik Murusuri, Mwezeshaji na mtoa mada, akizungumza katika Semina ya Waandishi wa Habari, iliyofanyika hivi karibuni katika kituo cha Msimbazi, jijini Dar es Salaam. (Picha na Michael Ally) Derik Murusuri, Mwezeshaji na mtoa mada, akizungumza katika Semina ya Waandishi wa Habari, iliyofanyika hivi karibuni katika kituo cha Msimbazi, jijini Dar es Salaam. (Picha na Michael Ally)

Dar es Salaam

Na Mathayo Kijazi

Waandishi wa Habari wametakiwa kuwa wabunifu na wenye kujitolea kufanya vitu vya tofauti katika kazi zao, ili waweze kuzalisha vipindi na habari zenye ubora.
Hayo yalisemwa na Derik Murusuri, Mwezeshaji katika Semina ya Waandishi wa Habari, iliyofanyika hivi karibuni Msimbazi Centre, jijini Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.