Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kagera kuachana na Umeme kutoka Uganda

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko (katikati) akishuhudia utiaji saini mikataba ya mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kwa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako hadi Kyaka katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko (katikati) akishuhudia utiaji saini mikataba ya mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kwa msongo wa kilovoti 220 kutoka Benako hadi Kyaka katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma.

Ahadi ya serikali ya kufikisha umeme wa gridi ya taifa katika wilaya zote za Mkoa wa Kagera, imetekelezwa baada ya kusaini mikataba ya ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa kilovoti 220, kutoka Benako-Ngara hadi Kyaka wilayani Misenyi.
Aidha, hatua hiyo imekwenda sanjari na kituo cha kupoza umeme cha Benako cha msongo wa kilovoti 220/33, na kutoa uhakika kwa Mkoa huo kupata umeme wa gridi na kuacha kutegemea umeme kutoka Uganda.

Rate this item
(0 votes)
Last modified on Friday, 29 August 2025 11:26

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.