Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Waziri Mkuu aipongeza DSE

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amelipongeza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), kwa kuongezeka kwa thamani ya soko hilo na kufikia shilingi trilioni 21.0, katika kipindi cha kufikia Julai mwaka huu.
Waziri Mkuu Majaliwa alisema  kwamba, soko hilo limeongeza ukuaji wa mauzo ya hisa kwa zaidi ya asilimia 246, pamoja na ongezeko la idadi ya wawekezaji hadi zaidi ya akaunti 683,000, ikiwa ni ishara ya ukuaji imara wa sekta ya mitaji nchini.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.