Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Novena kuombea Haki, Amani yagusa kila kona

Waamini wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, sambamba na kuhitimisha Novena ya Kuombea Taifa la Tanzania Haki na Amani. (Picha na Yohana Kasosi) Waamini wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, sambamba na kuhitimisha Novena ya Kuombea Taifa la Tanzania Haki na Amani. (Picha na Yohana Kasosi)

Morogoro

Na Angela Kibwana

Kanisa Katoliki limehitimisha mfungo maalumu kote nchini, ambapo Wakatoliki walifunga, kuabudu Ekaristi Takatifu na kuiombea nchi haki na amani, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Hatua ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kutoa sala maalumu na agizo la kuwashirikisha Waamini kufunga, kusali na kuombea haki na amani si mara ya kwanza, bali limefanya hivyo mara kwa mara hasa inapoonekana kuna viashiria vya uvunjifu wa amani, ambayo ni tunda la haki.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.