Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Ndoa ni wito isichezewe asema Padri

Padri Ferdinand Mushi, Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Jordan, kilichopo Jimbo Katoliki la Morogoro akiwafungisha Ndoa Bwana Edwin Marandu na Anna Ndimbo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu, ya Sakramenti hiyo, iliyofanyika Parokia Teule ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Tungu, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi) Padri Ferdinand Mushi, Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Jordan, kilichopo Jimbo Katoliki la Morogoro akiwafungisha Ndoa Bwana Edwin Marandu na Anna Ndimbo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu, ya Sakramenti hiyo, iliyofanyika Parokia Teule ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Tungu, jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)

Morogoro

Na Mwandishi wetu

Imeelezwa kwamba Ndoa Takatifu ya mume mmoja na mke mmoja, sasa imekuwa kama maigizo.
Padri Ferdinand Mushi, Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Jordan, Jimbo Katoliki la Morogoro, alisema hayo wakati wa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu, ya Sakramenti Takatifu ya Ndoa kati ya Bwana Edwin Marandu na Bibi Anna Ndimbo, iliyofanyika Parokia Teule ya Mtakatifu Theresia wa Mtoto Yesu Tungu, Jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.