Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wakati wa msiba msiwe na huzuni iliyopitiliza -Askofu

Waombolezaji wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumwombea Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa Kuu la Mama wa Huruma Jimbo Katoliki Bukoba. (Na Mpigapicha wetu) Waombolezaji wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kumwombea Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa katika Kanisa Kuu la Mama wa Huruma Jimbo Katoliki Bukoba. (Na Mpigapicha wetu)

Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddeus Ruwa’ichi, amewataka Waamini kutoruhusu kugubikwa na huzuni iliyopitiliza pale msiba unapotokea, badala yake waweke imani na tumaini katika Kristo, liwafariji.
Askofu Mkuu huyo alisema hayo wakati wa homilia yake, katika Adhimisho la Misa Takatifu ya kumwombea Balozi wa Baba Mtakatifu, Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.