Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

AMECEA yatoa ujumbe IMBISA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Askofu Charles Sampa Kasonde wa Jimbo Katoliki la Solwezi nchini Zambia. Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Askofu Charles Sampa Kasonde wa Jimbo Katoliki la Solwezi nchini Zambia.

SOLWEZI, Zambia

Katika Mkutano Mkuu wa 14 wa Baraza la Maaskofu wa Kusini mwa Afrika (IMBISA) katika Jimbo Katoliki la Manzini, Eswatini, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Askofu Charles Sampa Kasonde wa Jimbo Katoliki la Solwezi nchini Zambia, ameshiriki ujumbe wa mshikamano na wajumbe hao, akitaka kuwepo kwa mfumo wa kichungaji unaoathiri masuala mawili ya Kanda.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.