Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Maaskofu wampongeza Rais Malawi

Rais wa MCCB, Askofu Martin Anwel Mtumbuka Rais wa MCCB, Askofu Martin Anwel Mtumbuka

Lilongwe, Malawi

Baraza la Maaskofu Katoliki Malawi (Malawi Conference of Catholic Bishops: MCCB) limempongeza Profesa Arthur Peter Mutharika kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa saba wa Jamhuri ya Malawi.
Katika taarifa iliyotiwa saini na Rais wa MCCB, Askofu Martin Anwel Mtumbuka alitoa pongezi za dhati kwa mkutano huo kwa Profesa Mutharika kwa ushindi wake katika uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.