Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wakristo goigoi wawekwa mtegoni

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana wa Parokia ya Bikira Maria wa Fatima-Msimbazi, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. (Picha na Laura Mwakalunde) Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi akimpatia Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana wa Parokia ya Bikira Maria wa Fatima-Msimbazi, jimboni humo, wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo. (Picha na Laura Mwakalunde)

Dar es Salaam

Na Laura Mwakalunde

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amewaonya Waamini kuacha kuwa Wakristo goigoi.
Aliyasema hayo hivi karibuni, wakati akitoa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, iliyofanyika Parokia ya Bikira Maria wa Fatima-Msimbazi, jimboni humo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.