Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Wenye majivuno watahadharishwa

Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, akitoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo iliyoadhimishwa hivi karibuni katika Parokia ya Mtakatifu Toma – Muungano, jimboni humo. Kulia kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Joseph Mapunda. (Picha na Mathayo Kijazi) Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba OSA, akitoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara kwa mmoja wa vijana wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti hiyo iliyoadhimishwa hivi karibuni katika Parokia ya Mtakatifu Toma – Muungano, jimboni humo. Kulia kwa Askofu ni Paroko wa Parokia hiyo, Padri Joseph Mapunda. (Picha na Mathayo Kijazi)

Bagamoyo

Na Mathayo Kijazi

Wakristo wametakiwa kuepuka kiburi na majivuno, kwa kudhani bila wao mambo hayawezi kufanyika katika Kanisa, na jamii kwa ujumla.
Hayo yalisemwa hivi karibuni na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Musomba -OSA, wakati wa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, sanjari na kutoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara, katika Parokia ya Mtakatifu Toma – Muungano, jimboni humo.
“Tunaona katika Injili ya leo, yule Farisayo anamwambia Mungu ‘Mbona huoni? Mimi niko moja, mbili, tatu, mimi nafanya hiki na hiki, siwezi kuwa kama huyo, huyo ni mdhambi, huyo anatoza ushuru. Kwa hiyo anaona kwamba yeye ni bora kuliko yule mwingine. Na ndio maana kwa kuigaiga, tunaweza kusahau njia yetu ya kumwelekea Mungu.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.