Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Uthamini mradi SGR washika kasi

Timu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, ikiongozwa na Mthamini Kiongozi FRV James Mark Mwanakatwe wakifanya tathmini ya maeneo itakayopitishwa reli ya SGR. Timu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, ikiongozwa na Mthamini Kiongozi FRV James Mark Mwanakatwe wakifanya tathmini ya maeneo itakayopitishwa reli ya SGR.

Tabora

Na Munir Shemweta

Zoezi la uthamini wa maeneo, yatakayopitiwa na ujenzi wa Mradi wa Reli ya Kisasa (Standard Gage Railway-SGR), kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, linaendelea kwa kasi katika Wilaya sita za mikoa hiyo.
Wilaya hizo ni Tabora Mjini, Uyui, Urambo, Kaliua, Uvinza pamoja na Wilaya ya Kigoma.
Timu kutoka Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali, ikiongozwa na Mthamini Kiongozi FRV James Mark Mwanakatwe, ipo mkoani Kigoma, ikiendelea na kazi ya uhamasishaji pamoja na ukusanyaji taarifa za mali uwandani, kwa wananchi ambao maeneo yao yanaguswa na mradi huo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.