Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Askofu Mchamungu ataka Waamini kumshukuru Mungu

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akikabidhi cheti kwa mmoja wa vijana wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Kwa vijana 31, iliyofanyika Parokia ya Mtakatifu Yohane Paulo II, Miembesaba-Kibaha jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi) Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akikabidhi cheti kwa mmoja wa vijana wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Kwa vijana 31, iliyofanyika Parokia ya Mtakatifu Yohane Paulo II, Miembesaba-Kibaha jimboni humo. (Picha na Yohana Kasosi)

Dar es Salaam

Na Mwandishi Wetu

Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu, amewataka Waamini kumshukuru Mungu kwa kila jambo, kwani yeye ndiye muweza wa yote. 
Askofu Mchamungu alitoa wito huo katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika, iliyokwenda sanjari na kutoa Sakramenti Takatifu ya Kipaimara Kwa vijana 31, iliyofanyika Parokia ya Mtakatifu Yohane Paulo II, Miembesaba-Kibaha jimboni humo. 

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.