Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Padri Nyoni ahimiza uadilifu kwa Viongozi

Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia -Goba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Kanuti Martin Nyoni, akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwaombea Watu waliouawa na kujeruhiwa, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu iliyofanyika parokiani hapo. (Picha na Yohana Kasosi) Paroko Msaidizi wa Parokia ya Mtakatifu Rita wa Kashia -Goba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Kanuti Martin Nyoni, akitoa homilia wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kuwaombea Watu waliouawa na kujeruhiwa, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu iliyofanyika parokiani hapo. (Picha na Yohana Kasosi)

Dar es Salaam

Na Mwandishi wetu

Paroko Msaidizi wa Paroki ya Mtakatifu Rita wa Kashia -Goba, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Kanuti Martin Nyoni, amewataka Waamini waendelee kusali na kumuomba Mwenyezi Mungu, ili Taifa liendelee kuwa na viongozi waadilifu, wenye kusikia sauti yake Mwenyezi Mungu, katika kuwalinda na kuwaongoza raia.
Padri Nyoni alitoa wito huo hivi karibuni, wakati akitoa homilia yake katika Adhimisho la Misa Takatifu, ya kuwaombea Watu wote waliouawa na kujeruhiwa, katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, mwaka huu iliyofanyika parokiani hapo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.