Dekano wa Dekania ya Kibaha, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Thomas Mtei (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanakwaya wa Kwaya ya Mtakatifu Petro, Parokia ya Mtakatifu Yakobo Mkuu Mtume, Mabwepande baada ya sherehe ya uzinduzi wa albamu ya kwanza kwa Kwaya hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika viwanja vya parokia hiyo.
















