Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Kamili - Yombo Kiwalani, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Padri Kanuth Nyoni akiwabariki Waamini wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Somo wa Kanda ya Mtakatifu Raphael Malaika Mkuu iliyofanyika parokiani hapo hivi karibuni. (Picha na Mathayo Kijazi)
















