Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

DC aiagiza Kamati ya Mikopo

DAR ES SALAAM

Na Mwandishi wetu

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, Edward Mpogolo amewataka Wajumbe wa Kamati ya Huduma ya Mikopo  ngazi ya Kata,  kuhakikisha wanakuwa vinara wa ukusanyaji marejesho ya Mkopo huo wa asilimia 10.
Mpogolo alisema hayo jijini Dar es salaam wakati  akizungumza katika hafla ya uapisho wa uwajibikaji  na uadilifu katika  utoaji na usimamizi wa mikopo ya asilimia 10 kwa wajumbe wa kamati hiyo.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.