Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Watanzania wakumbushwa kupima saratani

Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, jijini Dar es Salaam, Dk. Kezia Tessua, akizungumza na Wananchi katika eneo la Bunju, Dar es Salaam. Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, jijini Dar es Salaam, Dk. Kezia Tessua, akizungumza na Wananchi katika eneo la Bunju, Dar es Salaam.

Dar es Salaam

Na Mwandishi Maalumu

Watanzania wametakiwa kujenga utamaduni wa kupima afya zao mara kwa mara, hasa magonjwa yasiyo ambukiza, ili kuepuka madhara zaidi.
Rai hiyo ilitolea hivi karibuni, na Daktari Bingwa wa magonjwa ya ndani kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, jijini Dar es Salaam, Dk. Kezia Tessua, wakati akizungumza na Wananchi katika eneo la Bunju, kwenye Programu ya Viongozi Wanawake, inayosimamiwa na Taasisi ya Uongozi.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.