Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

‘Taifa lisilofuata misingi bora ya Utu hupotoka’

Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Edward Sabbas akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Mahafali ya Kidato cha Nne katika Seminari Ndogo ya Mtakatifu Maria –Visiga, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. (Picha na Yohana Kasosi) Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Edward Sabbas akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Mahafali ya Kidato cha Nne katika Seminari Ndogo ya Mtakatifu Maria –Visiga, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam. (Picha na Yohana Kasosi)

Visiga

Na Laura Mwakalunde

Makamu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Padri Edward Sabbas amesema kwamba, Taifa linaloshindwa kufuata misingi bora ya utu hupotoka.
Padri Edward alisema hayo hivi karibuni, wakati akihubiri katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Mahafari ya Kidato cha Nne, katika Seminari Ndogo ya Maria –Visiga, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam.

Rate this item
(0 votes)

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.