Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

LUSAKA, ZambiaBaba Mtakatifu Fransisko ametangaza uteuzi wa Balozi mpya wa Kitume kwa nchi mbili katika Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama katika eneo la Mashariki…
NAIROBI, KenyaWajumbe wa Jumuiya ya Kikatoliki ya Kuhudumia Watoto (CCC) imewaleta pamoja washiriki kutoka sehemu mbalimbali za Dunia, wakiwemo Maaskofu, Dini, Wakleri, Walei na washirika…
VATICAN CITY, VaticanGazeti la ‘II Messaggero’, limetimiza miaka 145 tangu kuanzishwa kwake, wakati huu linapoendelea na maandalizi yake ya Jubilei yake itakayofanyika mwaka 2025.Baba Mtakatifu…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amesema kwamba Wakatoliki wanapaswa kuitangaza na kuishuhudia Injili kwa Matendo ya Huruma, kiroho na kimwili.Baba Mtakatifu alitoa rai hiyo…
DAR ES SALAAM Na Philip Komba Pamoja na mji wa Yerusalemu kujulikana zaidi sana kutokana na umaarufu wake katika mambo ya dini, mji huo haujabaki…
Baba Mtakatifu Fransisko (kushoto) akisalimiana na Baba Mtakatifu Mstaafu Benedikto XVI wakati Papa alipomtembelea Mstaafu huyo katika makazi yake, akiambatana na Makardinali wapya. Vatican City…
Ujenzi wa Kituo cha Afya cha kisasa katika Kata ya Lukobe, Mkoani Morogoro ukiendelea. MOROGORO Na Angela Kibwana Serikari ya Tanzania imetoa Shilingi milioni 500/-…
ARUSHA Na Mwandishi wetu Mkurugenzi wa Idara ya Ulinzi na Usalama wa Mtoto, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Padri Dennis Ombeni amewataka Raia wa Jumuiya…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Wadau na Watetezi wa Uhai kutoka Shirika la Kutetea Uhai, Pro-Life Tanzaania, wamesema kwamba mengi yaliyoandikwa katika Barua ya…
Page 5 of 5