Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

KARONGA, MalawiChama cha Wanawake Wakatoliki (Catholic Women Association: CWA) nchini Malawi, kimefanya Mkutano Mkuu wa 45 wa Mwaka kuanzia Desemba 18–22 mwaka huu.Mkutano huo ulifanyika…
KASESE, Uganda Padri Raphael Balinandi Kambale ameadhimisha Jubilei ya Dhahabu katika Parokia ya Nsenyi, Jimbo Katoliki la Kasese nchini Uganda, akiwasihi Mapadri vijana na Wakristo…
LUSAKA, ZambiaKituo cha televisheni cha Kikatoliki nchini Zambia, Lumen TV-Z kimepata msukumo mkubwa kwa kuweka mfumo wa umeme wa jua wa KVA 11 wenye thamani…
VATICAN Baba Mtakatifu Fransisko amewataka Waamni kusimama kidete kulinda na kutetea Injili ya uhai dhidi ya utamaduni wa kifo, akiwasisitiza kupokea zawadi ya uhai kwa…
VATICAN CITY Mtu mmoja aliyejulikana kwa jina la Taleb Al Abdulmohsen, mwenye umri wa miaka 50, Daktari wa Afya ya Akili, aliyeingia nchini Ujerumani kunako…
KHARTOUM, SudanMwenyekiti wa Jumuiya ya Mabaraza ya Maaskofu Wanachama Afrika Mashariki (AMECEA), Askofu Charles Sampa Kasonde ametoa wito kwa Makongamano ya Wanachama kuwasilisha Nchi ya…
JUBA, Sudan Kusini Askofu Yunan Tombe Trille Kuku wa Jimbo Katoliki la El-Obeid nchini Sudan, ameelezea uzoefu wake wa kiwewe kufuatia vita vya wenyewe kwa…
NAIROBI, Kenya Afisa wa Shirika la Kikatoliki la Maendeleo ya Nchi za Nje (CAFOD), Mwila Mulumbi (pichani) amesema Kanisa linatakiwa kuweka mikakati zaidi katika utetezi…
ADDIS ABABA, Ethiopia Baba Mtakatifu Fransisko amemteua Padri Tesfaye Tadesse Gebresilasie, ambaye alikuwa Mkuu wa Wamisionari wa Comboni wa Moyo wa Yesu (MCCJ), kuwa Askofu…
NAIROBI, Kenya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanachama wa Mabaraza ya Maaskofu Afrika Mashariki (AMECEA), Padri Anthony Makunde amesisitiza kuwepo kwa mambo muhimu ikiwemo uongofu…
Page 1 of 5