Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amewataka Washairi kutafakari jinsi imani inavyohoji maisha, kwani haiwezi kupunguzwa kwa dhana.Baba Mtakatifu alisema hayo katika barua yake aliyoiandika,…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko amewataka watu wote waliopewa jukumu la kuwatumikia watu, watekeleze jukumu hilo wakiwajibika kwa unyenyekevu na huruma, badala ya kutumia…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko ametaka kuwepo kwa hatua za kusitisha mapigano mara moja huko Lebanon, Gaza, Palestina, Israel na maeneo mengine kama Ukraine,…
NEKEMTE, Ethiopia Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Ethiopia (Catholic Bishops’ Conference of Ethiopia: CBCE), Mwadhama Abune Kardinali Berhaneyesus, amesema kuwa wajibu mtakatifu wa…
KIEV,Ukraine Watu wa Mungu nchini Ukraine, bado wanaendelea kukabiliwa na kiu ya haki na amani kutokana na mapigano ya vita yanayoendelea nchini humo, kati ya…
VATICAN CITY, Vatican Baba Mtakatifu Fransisko ameiasa Jumuiya ya Kimataifa kuhakikisha inaendelea, kuwapokea na kuwahifadhi wakimbizi duniani kote.Baba Mtakatifu alitoa wito huo hivi karibuni wakati…
KASESE, UgandaAskofu wa Jimbo Katoliki la Kasese, Mhashamu Francis Aquirinus Kibira Kambale amewataka Wakristo kuiga mfano wa marehemu Bi. Augustino Muhindo, “anayejulikana kama Kithabutsunde” aliyemtaja…
ADDIS ABABA, Ethiopia Baraza la Maaskofu Katoliki Ethiopia (CBCE) limemteua Padre Asfaw Ketema kuwa Katibu Mkuu mpya.Ataanza rasmi jukumu hilo Juni mwaka huu, akimrithi Askofu…
ADDIS ABABA, Ethiopia Baada ya Abiria 157 kutoka nchi 35 tofauti waliokuwa ndani ya ndege ya Ethiopian Airlines Flight 302, Boeing 737 MAX 8, kufariki…
NDOLA, Zambia Askofu wa Jimbo Katoliki la Ndola, nchini Zambia Mhashamu Benjamin Phiri amezitaka Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo nchini humo kuwafikia Wakatoliki wasiotenda, na…
Page 2 of 5