Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

CHIPATA, ZambiaAskofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Chipata Gabriel Msipu, ametoa wito wa ugawaji sawa wa chakula cha msaada wakati Serikali ikikabiliana na uhaba wa…
VATICAN CITY, VaticanBaba Mtakatifu Fransisko anatarajiwa kufanya ziara yake ya kichungaji kwenye mji wa Maji katika Kisiwa cha Giudecca, Aprili 28 mwaka huu.Katika ziara hiyo…
VATICAN CITY, Vatican Baada ya Maaskofu, Watawa, familia nzima, vijana, wanafunzi, wanandoa, Wamisionari, wahamiaji, wakimbizi wa kivita, mwaka huu 2024 ni Papa mwenyewe ameamua kutayarisha…
MANGOCHI, Malawi Timu ya wadau wa Kanisa na jumuiya, walitembelea nyumba iliyoonekana kutengwa na kuezekwa kwa nyasi ili kutathmini uwezekano wa kuunganishwa tena watoto wa…
LILONGWE, MalawiMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Malawi (Catholic University of Malawi: CUNIMA), Mshiriki Profesa Ruth Ngeyi Kanyongolo, amejitolea kufanya kazi pamoja kama…
LUSAKA, ZambiaShirika la Huduma za Vyombo vya Habari vya Kikatoliki, limeadhimisha Siku ya Redio Duniani kwa kutambua mchango mkubwa wa redio katika kueneza ujumbe wa…
ADDIS ABABA, Ethiopia Askofu Mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Eparchy Emdibir Eparchy, Mhashamu Askofu Teshome Fikre, amesimikwa.Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Ethiopia, Mwadhama…
LILONGWE, Malawi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Lilongwe nchini Malawi, Mhashamu George Desmond Tambala, amewataka Watawa kujiandaa na kazi ya Kimisionari ya Kimataifa.…
LUSAKA, ZambiaBaraza la Maaskofu Katoliki nchini Zambia (Zambia Conference of Catholic Bishops: ZCCB), limetoa shukrani za dhati kwa wanaume na wanawake wa Dini nchini Zambia…
VATICAN CITY, Vatican Imeelezwa kuwa watu wengi wamekuwa wakinyimwa haki ya matibabu, na haki ya kuishi.Hayo yalisemwa na Baba Mtakatifu Fransisko wakati akizungumza baada ya…
Page 3 of 5