NEW YORK, MarekaniMchezaji wa zamani wa NBA na mwanaharakati wa haki za binadamu Enes Kanter Freedom, amesema kuwa Baba Mtakatifu Fransisko ni zaidi ya kiongozi…
Dar es Salaam Na Arone Mpanduka Mshindi wa pili wa mbio za Boston Marathon Alphonce Felix Simbu, amesema kuwa kifo cha Baba Mtakatifu Fransisko kimeleta…
Na Remigius Mmavele Deusdedit Method Rwegasira almaarufu Mzee wa Katoma Band alizaliwa Aprili 26, 1963, Kata ya Katoma, mkoani Kagera, jirani kabisa na nyumbani kwa…
LONDON, ENGLANDMshambuliaji wa Corinthians Memphis Depay amekosoa uamuzi wa Shirikisho la Soka la Brazil (CBF), kuwaadhibu wachezaji kwa mbwembwe za kusimama juu ya mpira wakati…
LONDON, ENGLANDMlinzi wa Memphis Grizzlies, Ja Morant ametozwa faini ya dola 75,000, kwa kosa la kutumia ishara ya vidole wakati wa mchezo.Morant alitoa ishara hizo…
Na Nicolaus Kilowoko Kocha wa zamani wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Mourinho’, ambaye kwa sasa ameongezwa kwenye Benchi la Ufundi la kikosi cha Wanaume cha…
DAR ES SALAAM Na Paul Mabuga Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu muziki wa Singeli unaotutambulisha kama Watanzania.Wapo ambao hawakubaliani na hilo na wengine wanaunga…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Kiongozi wa zamani wa kikundi cha ushangiliaji cha Timu ya Simba kijulikanacho kama ‘Kidedea’, Said Muchacho amesema kuwa mechi…