Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Michezo

DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Klabu za soka za Simba na Yanga zimeanza kutegeana kuhusiana na kuweka wazi mipango yao ya usajili katika dirisha…
DAR ES SALAAM Na Paskazia Nestory Jamii ya siasa kwa hivi tuna mambo mengi yanayotuzunguka, mathalan harakati nyingi, mipango mingi shughuli nyingi na zinatufanya tukose…
Canberra, AustraliaBingwa wa Olimpiki wa discus Roje Stona na mchezaji wa kimataifa wa Rugby wa Australia Jordan Petaia, watakuwa miongoni mwa kundi la hivi punde…
NEW YORK, MarekaniJuan Soto anatazamiwa kusaini mkataba ambao unadaiwa kuwa mkubwa zaidi katika historia ya michezo baada ya kukubali mkataba wa $765m (£600m) kwa miaka…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Visiwani Zanzibar nako wana michezo yao inayopendwa zaidi kama Tanzania Bara ilivyo na michezo yake ikiwemo ya asili.Ni michezo…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Wapinzani wa Yanga katika kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Hilal ya Sudan, wameliandikia barua Shirikisho la…
DAR ES SALAAM Bondia wa Masumbwi nchini, Hassan Mwakinyo amesema kuwa ujio wa pambano lake la ‘Usiku wa Utetezi wa Mkanda” ni sehemu ya kudhihirisha…
DAR ES SALAAM Klabu ya soka ya Tabora United imesema kwamba timu yoyote inayotaka huduma ya mchezaji wao Offen Chikola, inapaswa kutoa kitita cha shilingi…
NEW DELHI, IndiaIndia imeliarifu Baraza la Kimataifa la Kriketi kwamba haitasafiri kwenda kwenye Kombe la Mabingwa, kulingana na wenyeji Pakistan.Mvutano wa kisiasa unaoendelea, unamaanisha kuwa…
LONDON, UingerezaMwamuzi wa Premier League, David Coote (kushoto) amesimamishwa baada ya video inayodaiwa kumuonyesha akitoa kauli za dharau kuhusu Liverpool na meneja wa zamani wa…