Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Michezo

Dar es Salaam Na Arone Mpanduka Mshindi wa pili wa mbio za Boston Marathon Alphonce Felix Simbu, amesema kuwa kifo cha Baba Mtakatifu Fransisko kimeleta…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Licha ya ratiba na takwimu za msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, kuonyesha kwamba Yanga imebakiza michezo minne ili…
Na Remigius Mmavele Deusdedit Method Rwegasira almaarufu Mzee wa Katoma Band alizaliwa Aprili 26, 1963, Kata ya Katoma, mkoani Kagera, jirani kabisa na nyumbani kwa…
Na Nicolaus Kilowoko Diego Forlán Corazo ana umri wa miaka 45 sasa, akiwa amezaliwa mwaka 1979. Ni mchezaji wa sasa wa mchezo wa tenisi akitokea…
LONDON, ENGLANDMshambuliaji wa Corinthians Memphis Depay amekosoa uamuzi wa Shirikisho la Soka la Brazil (CBF), kuwaadhibu wachezaji kwa mbwembwe za kusimama juu ya mpira wakati…
LONDON, ENGLANDMlinzi wa Memphis Grizzlies, Ja Morant ametozwa faini ya dola 75,000, kwa kosa la kutumia ishara ya vidole wakati wa mchezo.Morant alitoa ishara hizo…
Na Nicolaus Kilowoko Kocha wa zamani wa Yanga Princess, Edna Lema ‘Mourinho’, ambaye kwa sasa ameongezwa kwenye Benchi la Ufundi la kikosi cha Wanaume cha…
DAR ES SALAAM Na Paul Mabuga Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu muziki wa Singeli unaotutambulisha kama Watanzania.Wapo ambao hawakubaliani na hilo na wengine wanaunga…
DAR ES SALAAM Na Arone Mpanduka Kiongozi wa zamani wa kikundi cha ushangiliaji cha Timu ya Simba kijulikanacho kama ‘Kidedea’, Said Muchacho amesema kuwa mechi…
Dar es Salaam Na Nicolaus Kilowoko Uongozi wa Klabu ya Soka ya Singida Black Stars kupitia kwa Meneja wa Habari na Mawasiliano, Hussein Massanza umeendelea…