Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Kanisa Letu

Mwanza Na Paul Mabuga Anna Nicodemus, mmoja wa wahariri katika kituo cha runinga cha Shirika la Utangazaji la Namibia (Namibia Broadcasting Corporation: NBC), yeye na timu yake wamepanga kufanya filamu…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Tumaini Televisheni nchini Tanzania kwa kushirikiana na Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Italia (Conference Episcopal of Italia: CEI), imezindua rasmi mpango maalumu wa Utunzaji…
DAR ES SALAAM Na Mwandishi wetu Tanzania na Vatican zimeridhika na uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili kwa mchango wa Kanisa Katoliki katika ustawi, maendeleo na mafao ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akibariki kanisa la Parokia ya Mtakatifu Vincent wa Paulo – Kibamba, jimboni humo, katika Adhimisho la…
DAR ES SALAAM Na Angela Msele Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amewausia Waamini na watoto kuacha dhambi ya wivu, kwani itawasababishia…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema kuwa jamii isipobadilika na kuwekeza katika maadili mema kwa…
SAKA (SALA NA KAZI) DODOMA Na Gaudence Hyera Miongoni mwa Parokia zinazounda Jimbo Kuu Katoliki la Dodoma ni ya Parokia ya Watakatifu Wote, Nzuguni, ambayo inatarajiwa kuadhimisha miaka mitatu Novemba…
Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Henry Mchamungu akisalimiana na kijana James Peter, mwamini wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju, jimboni humo,…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, akiwauliza maswali vijana wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko Savio, Mikoroshoni, Jimboni humo kabla ya kuwapa Sakramenti…
Page 1 of 2