Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Habari Za Kimataifa

KASESE, UgandaAskofu wa Jimbo Katoliki la Kasese, Mhashamu Francis Aquirinus Kibira Kambale amewataka Wakristo kuiga mfano wa marehemu Bi. Augustino Muhindo, “anayejulikana kama Kithabutsunde” aliyemtaja…
ADDIS ABABA, Ethiopia Baraza la Maaskofu Katoliki Ethiopia (CBCE) limemteua Padre Asfaw Ketema kuwa Katibu Mkuu mpya.Ataanza rasmi jukumu hilo Juni mwaka huu, akimrithi Askofu…
ADDIS ABABA, Ethiopia Baada ya Abiria 157 kutoka nchi 35 tofauti waliokuwa ndani ya ndege ya Ethiopian Airlines Flight 302, Boeing 737 MAX 8, kufariki…
NDOLA, Zambia Askofu wa Jimbo Katoliki la Ndola, nchini Zambia Mhashamu Benjamin Phiri amezitaka Jumuiya Ndogo Ndogo za Kikristo nchini humo kuwafikia Wakatoliki wasiotenda, na…
CHIPATA, ZambiaAskofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Chipata Gabriel Msipu, ametoa wito wa ugawaji sawa wa chakula cha msaada wakati Serikali ikikabiliana na uhaba wa…
VATICAN CITY, VaticanBaba Mtakatifu Fransisko anatarajiwa kufanya ziara yake ya kichungaji kwenye mji wa Maji katika Kisiwa cha Giudecca, Aprili 28 mwaka huu.Katika ziara hiyo…
VATICAN CITY, Vatican Baada ya Maaskofu, Watawa, familia nzima, vijana, wanafunzi, wanandoa, Wamisionari, wahamiaji, wakimbizi wa kivita, mwaka huu 2024 ni Papa mwenyewe ameamua kutayarisha…
MANGOCHI, Malawi Timu ya wadau wa Kanisa na jumuiya, walitembelea nyumba iliyoonekana kutengwa na kuezekwa kwa nyasi ili kutathmini uwezekano wa kuunganishwa tena watoto wa…
LILONGWE, MalawiMakamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Malawi (Catholic University of Malawi: CUNIMA), Mshiriki Profesa Ruth Ngeyi Kanyongolo, amejitolea kufanya kazi pamoja kama…
LUSAKA, ZambiaShirika la Huduma za Vyombo vya Habari vya Kikatoliki, limeadhimisha Siku ya Redio Duniani kwa kutambua mchango mkubwa wa redio katika kueneza ujumbe wa…
Page 1 of 4