Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Daniel Kilala, akiwabariki Viongozi wapya wa Zaka, baada ya kuwaapisha wakati wa Adhimisho…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Nicholaus – Kunduchi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Faustin Maganga, akiwa katika picha ya pamoja na vijana, baada ya Adhimisho la Misa…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakitoa michango yao parokiani hapo kwa ajili ya kuitegemeza Tumaini Media, wakati wa Adhimisho…
Waamini kutoka Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Shukrani kwa Miaka 30 ya Redio Tumaini, iliyoadhimishwa katika Parokia ya…
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Fransisko wa Asizi – Pugu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika.
Waamini wa Parokia ya Mtakatifu Dominiko – Mbezi Juu, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika. (Picha zote na Yohana Kasosi)
Dekano wa Dekania ya Mtakatifu Gaspari, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, ambaye pia Paroko wa Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli – Bunju, jimboni humo, Padri Dominic…
Waamini wa Parokia ya Familia Takatifu – Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika iliyoadhimishwa parokiani hapo.
Paroko wa Parokia ya Familia Takatifu – Mburahati, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Vitalis Kassembo akiwabariki Waamini waliotoa Zaka wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Dominika…