Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha
Padri Dickson Sambala- O.CARM, akibariki vipaji wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu iliyofanyika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli, Bunju, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, iliyofanyika parokiani…
Baadhi ya Waamini wa Parokia mbalimbali za Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Kuhitimisha Ziara ya Kuitembeza Sanamu ya Bikira Maria wa…
Mdau wa Tumaini Media, Anitha Kihwele na mumewe Joseph Kihwele, wakitabasamu baada ya kukabidhiwa cheti cha shukrani na Padri Cornel Mashare (kushoto), Paroko wa Parokia ya Kristo Mfalme, Tabata, Jimbo…
DAR ES SALAAM Na Angela Msele Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi amewausia Waamini na watoto kuacha dhambi ya wivu, kwani itawasababishia…
DAR ES SALAAM Na Mathayo Kijazi Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi, amesema kuwa jamii isipobadilika na kuwekeza katika maadili mema kwa…
LILONGWE, Malawi Mwenyekiti wa Tume ya Kichungaji Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Malawi, Mhashamu Martin Anwel Mtumbuka, amewataka Wakatoliki kuzingatia na kufuata Liturjia katika Madhimisho ya Misa Takatifu.Mhashamu Mtumbuka ambaye…
Viongozi wa Halmashauri ya Walei na baadhi ya Waamini wa Parokia ya Kung’ara kwa Yesu Kristo, Mbezi Mshikamano, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa…
Padri Octvian Linuma wa Jimbo Katoliki la Mahenge (mwenye suti), akiwasili katika viwanja vya Shule ya St. Rosalia, Kinyerezi, jijini Dar es Salaam tayari kwa adhimisho la Misa Takatifu ya…
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa’ichi (kulia) akikata utepe kuzindua ukumbi wa kisasa wa Parokia ya Mtakatifu Martha, Mikocheni, baada ya Adhimisho…