Login to your account

Username *
Password *
Remember Me

Create an account

Fields marked with an asterisk (*) are required.
Name *
Username *
Password *
Verify password *
Email *
Verify email *
Captcha *
Reload Captcha

Matukio Ya Wiki

Viongozi wa Halmashauri ya Walei na Waamini wa Parokia ya Bikira Maria wa Mateso - Mbezi Msakuzi, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu…
Waamini wa Kanda ya Bethlehemu, Parokia ya Thomas More, Mbezi Beach, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika maandamano ya kutembeza Msalaba wa Jubilei ya Miaka 50 ya…
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Mikael Malaika Mkuu, Kawe, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Bonus Ngoo, akiwapaka waamini Majivu wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano…
Paroko Msaidizi wa Parokia ya Roho Mtakatifu, Segerea, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Padri Amedeus Babu akiwapaka waamini Majivu wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano ya…
Mwalimu na Mlezi wa Seminari Kuu ya Mtakatifu Antoni wa Padua – Ntungamo, Jimbo Katoliki la Bukoba, Padri Roland Kashaga (katikati kushoto), akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa…
Waamini wa Parokia ya Mwenyeheri Isdori Bakanja, Boko, Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Adhimisho la Misa Takatifu ya Jumatano ya Majivu iliyoadhimishwa hivi karibuni parokiani hapo.…
Masista kutoka Mashirika mbalimbali wanaofanyakazi ya Kitume Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, wakiwa katika Semina ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu, iliyofanyika katika ukumbi Parokia ya…
Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam wakipeleka majitoleo Altareni kwa Askofu Mkuu wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya Kutabaruku Kanisa jipya la Seminari Ndogo…
Waamini walioshiriki Kongamano la Karismatiki Katoliki Kambi ya Uponyaji, wakiongozwa na Kwaya kusifu na kuabudu wakati wa kuhitimisha kongamano hilo lililofanyika katika Parokia ya Mtakatifu Anthony wa Padua, Mbagala Zakhiem,…